“Wana Arusha kama mkitaka maendeleo na mabadiliko ya kweli nileteeni Gambo, Arusha kupata maji ni shida, nitashangaa sana kama malipo yenu kwa mtu aliyewatetea itakuwa kumnyima kura, Gambo nimemsumbua kwa mambo mengi”- Dkt Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM

Video bofya HAPA

The post LIVE: Arusha mkitaka maendeleo na mabadiliko nileteeni Gambo – Dkt Magufuli mgombea Urais (+Video) appeared first on Bongo5.com.