Lakers wameibuka mabingwa wapya wa ligi hiyo kwa ushindi wa pointi 106-93 dhidi ya wapinzani wao Miami Heat

Ushindi huo umeifanya LA Lakers kuibuka na ushindi wa jumla wa 4-2 dhidi ya Miami Heat.

Huu unakuwa ubingwa wa 17 kwa Lakers ikiifikia Boston Celtics kama timu zilizoshinda mara nyingi zaidi.

Katika ushindi huo, Nyota wa Lakers Lebron James alichangia pakubwa kwa kufunga triple double; pointi 29, rebound 14, na assists 10.

The post Lakers mabingwa wa NBA 2019/2020 appeared first on Bongo5.com.