Staa wa Bongoflava anasema Hana Shida na Diamond ama Msanii yeyote ila anachotaka kila mtu afanye kazi kimpango wake.. Na wala asifatiliwe na Mtu

"Mimi Binafsi sina Shida na mtu Ningefurahi sana kila mtu afanye kazi zake kimpango wake tusifatiliane" Ali Kiba