“Nimeona hapa utaratibu ni mzuri, wazee, wamama wajawazito, wamama wenye watoto lakini pia wenye afya ambazo wanaona hawawezi kusimama mda mrefu wanaruhusiwa wataongozwa na muongozaji, niwashukuru wananchi, wanatambua umuhimu wa amani”

https://www.instagram.com/tv/CG4Y-mlhZVu/

 

https://www.instagram.com/tv/CG4ZcXahzEv/

The post Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoka kupiga kura, niwashukuru wananchi, wanatambua umuhimu wa amani (+ Video) appeared first on Bongo5.com.