"Kama Magufuli ameweza kusambaza umeme kwa asilimia 50 ndani ya miaka mitano (tukatoka 35% hadi 85%), atashindwaje kusambaza umeme kuyafikia maeneo ambayo ni asilimia 15 tu yamebaki, hesabu iko wazi na hilo linawezekana." -Ameyasema Hayo David Kafulila.