Mkuu wa Jeshi la Polisi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akiwa ni miongoni mwa Watanzania waliojitokeza kupiga kura leo jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi