Tumepokea taarifa za kuvamiwa studio ya S2KIZZY ambako wasanii waliokuwa wakijiandaa kurekodi, wamepigwa na kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji. Haikubaliki! Tumesema na Jeshi la Polisi

@tanpol kuchunguza tukio ili haki ipatikane na kuwachukulia hatua kali wavamizi. #Muzikinimaisha