Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe
@halimamdee
amekamatwa na jeshi la polisi kwa madai kwamba ameingilia zoezi la uchaguzi, baada ya mzozo uliotokea akidai kuna mabegi ya kura feki yanayoingizwa kituoni hapo.
https://www.instagram.com/tv/CG4WQ-3BdTx/
https://www.instagram.com/tv/CG4WQ-3BdTx/
The post Halima Mdee akamatwa na Polisi kwa kuingilia zoezi la upigaji kura (+Video) appeared first on Bongo5.com.