Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Hai amemtangaza Saashisha Mafuwe wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge Jimbo hilo kwa kupata kura 89,786

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Freeman Mbowe (CHADEMA) amepata kura 27,684 katika nafasi ya 2. Mbaruku Mhina (ACT) mwenye kura 315 ameshika nafasi ya 3.