Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Hai , amemtangaza Saashisha Mafuwe wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 89,786, akifuatiwa na Freeman Mbowe aliyepata kura 27,684.