Mgombea ubunge kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson, ameibuka mshindi katika Jimbo la Mbeya Mjini kwa kupata kura 75,225 huku mpinzani wake Joseph Mbilinyi wa Chadema akipata kura 37,591.

Hivyo ametangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini.