Msanii Dogo Janja amefunguka kuhusu bata analokula na Mchumba wake huku akisema mipango ya wawili hao kupata Mtoto ipo ila wanajipanga kwanza na hawataki kukurupuka kisa maneno ya Watu .

”Maisha ni kufurahia Maisha, leo kesho hatupo ntaenda kumwambia nini Mungu, tabasamu zinavicha mambo mengi sana, kuhusu kussuport biashara zake mambo yake ni binafsi sana na nina heshimu sana privacy za Mke wangu”- Janjaro

Kuhusu Mtoto, huwezi kuzaa kwa ajili ya Watu, sina target ya kuwa na Watoto zaidi ya watatu nadhani wawili wananitosha, lazima nijipange” – Janjaro