Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa LEO Jumatatu Oktoba 05, 2020 atazungumza na Wazee wa Zanzibar Kutoka Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Kuanzia Saa 8 Mchana ili Kutoa mwenendo wa Kampeni za CCM.