Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeifanyia mabadiliko katika mchezo  namba 61 wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania msimu wa 2020/2021 kati ya Young Africans SC na Simba SC uliokuwa uchezwe Oktoba 18, 2020. Sasa utachezwa Novemba 7, 2020 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

The post DERBY: Yanga na Simba sio Oktoba 18 tena, kupigwa tarehe hii appeared first on Bongo5.com.