Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Mwanyika (CCM) kuwa  mshindi wa jimbo hilo kwa kupata kura 29,553 huku mshindani wake Emmanuel Masonga (CHADEMA) akipata kura 5,940.