Mwanamuziki wa BongoFleva Ben Pol leo Novemba 23, 2020 ametangaza kubadili dini na kuwa muislamu
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, BenPol ameweka taarifa za picha zilizoambatana na nakala ya cheti cha kubadilisha dini
Awali Ben Pol alikuwa akitumia jina la Bernard Paul na sasa anatambulika kama Behnam.