Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords @officialalikiba amefunguka na kueleza kushangazwa na picha yake aliyopiga na mnyama Simba ku-trend kwenye mitandao msikilize akifunguka zaidi.

Akiongea katika kipindi cha LeoTena kinachoruka katika kituo cha CloudsFm @officialalikiba amezungumza haya:-

The post Alikiba aizungumzia picha yake aliyepiga na mnyama Simba iliyo trend (+Audio) appeared first on Bongo5.com.