Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB iliyopo chini ya @diamondplatnumz @officialzuchu ameweka wazi kuhusu taarifa zinaenezwa kuwa yupo kwenye mahusiano na Boss wake @diamondplatnumz . Mbali na hilo @officialzuchu pia amezungumzia sakata lake na @tanashadonna la kudaiwa kuiba wimbo na ku copy kila kitu kutoka kwa Tanasha.

The post Zuchu: Watu wananisingizia eti mimi niko kwenye mahusiano na Boss wangu Diamond? Mungu ndio anajua (+Video) appeared first on Bongo5.com.