Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka Lebo ya @wcb_wasafi iliyopo chini ya @diamondplatnumz @officialzuchu ameeleza furaha yake ya kukutana na Rais Magufuli na kueleza kuwa Rais Magufuli amemfanya thamani yake ipande.

Ameongeza kuwa baada ya kuomba kupiga nae picha hakuamini hadi pale alipompa mkono na yeye alikuwa analia tu Rais akamwambia usile njoo tupige picha na baada ya hapo alimpa pesa.

Mbali na hilo @officialzuchu ameeleza alivyopata wazo la kutunga wimbo wa TANZANIA YA SASA ambao unapongeza juhudi za Rais Magufuli.

The post Zuchu: Thamani yangu ilipanda baada ya kukutana na Rais Magufuli, Nililia sana akanitunza hela (+Video) appeared first on Bongo5.com.