Hivyo basi, picha hii inathibitisha kuwa penzi lingalipo na wawili hao wanafurahia maisha kwa pamoja.
Baada ya mashabiki wake kuona picha yake msanii Alikiba waliwasifia huku wengi wakiwatakia ndoa njema, hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;
ngwanamasele: ❤️❤️wameanza kufanana
officialsajim: couple boraaaa
muuzagongo: sema mke wake ni 🔥🔥🔥
happinessmapessa: Naipenda hii couple hatari mungu azdi kuiongoza siku zote
finagasper: Hizi bdo couple za kusimamia Sasa ..siyo unasimama kwenye couple unayumbishwa Kama mla unga👌😂🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
fettymobetto:🔥🔥🔥penzi limerudi upya
Photo Credits: hisani