Wakati mbio za dirisha hili ka usajili likiwa na hamasa za kipekee, hasa kutokana na kushuhudia klabu zilivyofanya sajili zake kwa tambo na mapokezi makubwa yakifanywa na mashabiki wa klabu zao. Hata sajili hizo zikikamilishwa na Matamasha makubwa kama vile Simba Week ya Machampions, Yanga Wiki ya Mwananchi na hata Azam Day. Mchambuzi Abbas Pira anajaribu kuangazia usajili na viwango vya wachezaji wa Yanga katika Wiki ya Mwananchi.
IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255
The post UCHAMBUZI: Usajili Yanga, kiwango cha Carlinhos Vs Aigle Noir (+Video) appeared first on Bongo5.com.