“Napenda kuwashukuru Wananchi wa Kigoma kwa wema wenu,  kipindi naumwa nilipata salam zenu za pole kutoka kwa Kijana wenu Zitto Kabwe toka nilipokuwa Nairobi mpaka Ubelgiji. Ahsanteni sana kwa salaam.” Tundu Lissu