Akifunguka kupitia EATV & EA Radio Digital, Tunda Man amesema
"Nimeshafanya ngoma na Alikiba ilifanya vizuri dunia nzima, pia tumefanya kazi nyingine kwa producer Maneck ambayo ni kubwa sana kiasi kwamba naona nikiichia hivi karibuni itaweza kuwa ndiyo kazi yangu ya mwisho kwenye muziki, au unaweza kusema naacha muziki kabisa maana ni ngoma kubwa sana"