Mgombea Ubunge wa jimbo la Mikumi Kwa tiketi ya CHADEMA Joseph Haule alimaarufu @professorjaytz siku ya jana alizindua kampeni katika jimbo lake la Mikumi na kutoa Shukran kwa wananchi wa Mikumi kwa muitiko walioomyesha.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu.
#Repost @professorjaytz with @make_repost
・・・
ASANTENI SANA wana wa MIKUMI, Tumezindua kampeni zetu rasmi sasa kazi IENDELEE @pmsigwa_ @binamubananga @mke_wa_profjize @dennis_mosha
The post Professor Jay: Asanteni sana wana mikumi, tumezindua kampeni rasmi sasa kazi iendelee appeared first on Bongo5.com.