“Naomba niwaambie watu wa Serengeti mkitaka barabara ya lami ijengwe Serengeti kwenda Arusha chagua Magufuli chagua CCM Naomba niwaambie watu wa Bunda mkitaka kupata barabara ya lami kutoka Bunda kwenda Serengeti chagua CCM”
The post Mwita Waitara: Naomba niwaambie watu wa Serengeti mkitaka barabara ya lami ijengwe Serengeti kwenda Arusha chagua Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com.