Mtangazaji B Dozen amvalisha pete mpenzi wake wa miaka mingi...Alikuwa Mfanyakazi Mwenzake Clouds FM
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi mtangazaji mashuhuri nchini Hamis Mandi aka Bdozen ambaye kwa sasa anatangazia kituo cha redio cha E-FM amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi aitwaye Faudhia.
Hii ni baada ya kuweka mahusiano yao private kwa miaka mingi sana...Faudhia alikuwa ni mfanyakazi mwenzake Clouds FM