Kupitia ukurasa wa Instagram wa rapa Mr Blue amepost inayomuonyesha mke wake  Waheed kuwa amepata mtoto mwingine watatu ambaye amethibitisha kuwa ni w kike.

Msanii Mr Blue na mkewe Waheeda

Ahsante mke wangu Mrs Blue Beauty Cosmetics kwa zawadi nyingine alhamdulillah, ahsante sana Mungu kwa kheri zako, karibu sana binti yangu Khairat kwenye familia alhamdulillah, Mungu ni mwema sana” ameandika Mr Blue

Huyo atakuwa mtoto wa tatu kwa msanii huyo na mkewe kwani hapo awali walikuwa na watoto wawili ambao mmoja wakiume mwingine ni mtoto wa kike.

The post Mr Blue athibitisha kupata mtoto wa tatu, karibu sana binti yangu Khairat kwenye familia appeared first on Bongo5.com.