Mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva Mocco genious amezungumzia sakata la yeye kufanya kazi na wasanii wawili wakubwa hapa nchini Tanzania ambao ni Alikiba na Diamond Platnumz.

Mocco amesema kuwa hategemei kuona upande mmoja unapunguza kasi ya kufanya nae kazi kwa sababu anafanya kazi na pande zote yeye anachojali ni kazi tu na sio vinginevyo masuala ya tofauti zao haihusiani na kazi.

Pia ameongeza kuwa wote wale wawili wana utofauti mkubwa sana linapokuja suala la kufanya kazi.

Fuatilia mahojiano yetu na Mocco:-

The post Mocco: Nafanya kazi na Alikiba pamoja na Diamond siangalii tofauti zao ninachojali ni kazi, wasinielewe vibaya (+Video) appeared first on Bongo5.com.