Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya @simbasctanzania @moodewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi namashabiki wanaoonekana wa Yanga.

 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram MO DEWJI amepost ujumbe huu wenye video hiui:-

Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi, nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!

The post Mo Dewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi na mashabiki wa Yanga (+Video) appeared first on Bongo5.com.