Kijana mjasiriamali Sady Kilwa Road ambaye anashungulisha na masuala ya urembo, ususi, massage pamoja na kufanya make up amefunguka kuzungumzia watu wanavyomchukulia kufanya kazi hiyo.

Amezungumza na Bongo5TV Alhamisi hii akiwa kwenye mashindano ya Msusi Challange yalioadaliwa na msanii wa muziki @officialnandy ambapo zaidi ya wasusi 300 walishiriki.

Sady amedai moja ya changamoto kubwa anayokutana nayo ni ile ya kuonekana kama shoga kitu ambapo hapendi.

The post Kutana na kijana anayejishughulisha na ususi “Sipendi watu wanavyoniita bwabwa” (Video) appeared first on Bongo5.com.