Wasanii wapya wa @kondegang @officialcheed na @officialkilly_tz walivyotua kwenye tukio la @countrywizzy_tz ambapo anazindua EP yake.

Mbali na hilo wametoa Shukran nyingi sana kwa @officialalikiba kwa kuwatengenezea misingi mizuri kwenye muziki. @officialkilly_tz na @officialcheed pia wameeleza muda ambao wameutumia hadi kusainiwa @kondegang

The post Killy na Cheed: Tupo Konde Gang ila tunamshukuru sana Alikiba, bila yeye sisi tusingekuwa hapa (+Video) appeared first on Bongo5.com.