Home
About
Contact
Home
HABARI
FACTS
Home
NEWS
Kenya: Watanzania Hawatoweka Karantini Tena
Kenya: Watanzania Hawatoweka Karantini Tena
Serikali ya Kenya imetoa orodha ya Nchi 147 ambazo Raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye orodha hiyo, Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi hizo ambazo zinafika 147, unaweza kuitazama orodha nzima hapa chini.
DOWNLOAD BONGO EXCLUSIVE APP ON PLAYSTORE FREE