“Ninaomba kura kwa WaTZ wa vyama vyote, maendeleo hayana chama, mnichagulie Wabunge ambao wataleta taarifa kwenye Makao Makuu, hawa ni wabunge ambao hawaliogopi Bunge na huwa hawakimbii Bungeni na wanakaa kwa ajili ya kuomba miradi ya Watanzania”
The post JPM: Mnichagulie Wabunge watakaoleta taarifa Makao Makuu, ambao hawaliogopi Bunge na hawakimbii wanaomba miradi (+Video) appeared first on Bongo5.com.