“Maendeleo Hayachagui sura tuchague maendeleao, Najua mmoja ya wagombea Anatoka hapa, mshaurini tu kwamba mimi mnipe kura ntamtafutia kikazi kidogo kidogo huku Serikalini, Ni mtoto wetu tunampenda wala hatuna tatizo na mimi sina tatizo na mtu yeyote, kwani kazi lazima uwe Rais? Mwachie Rais Magufuli wewe tutakupa kikazi utakachoweza kufanyafanya “

“Akija mwambieni Magufuli amesema atakupa kazi, kwanini uhangaikie hii kazi ambayo unajua hutashinda?

The post JPM: Mmoja anatoka Singida, mwambieni Magufuli atakupa kazi Serikalini uache kugombea hutashinda (+Video) appeared first on Bongo5.com.