Mama Maria Nyerere nakushukuru sana kwa kuja kuniombea kura, wewe una umri wa Mama yangu, na bado unatembea, Mama yangu yupo kitandani kwa zaidi ya miaka miwili anakula kwa kutumia mipira, siku tuliyokutana uliniambia Mama yangu anaumwa kwa makusudi ya Mungu ili wengine tupone”
The post JPM: Mama Maria Nyerere nakushukuru kwa kuja kuniombea kura, uliniambia Mama yangu anaumwa kwa makusudi ya Mungu wengine tupone (+Video) appeared first on Bongo5.com.