“Maendeleo hayateremki kama mvua, hata Corona tumeiondoa kwa kusali, angalieni nchi zingine kila siku wamejifunga midomoni, hata mke wako unaweza ukamsahau, unaweza usimjue kama ni mwanamke au mwanaume kwa sababu hawakumtangulliza Mungu”
“Mkileta watu ambao hawatatekeleza ilani ya uchaguzi mjue twafa, badala ya kupeleka kwenye visima vya maji watapeleka kwenye kulipana posho, na mimi sitawadhibiti kwa sababu siyo wangu, walio wangu ninawajua”
The post JPM: Maendeleo hayateremki kama mvua, hata Corona tumeiondoa kwa kusali mkileta wasiotekeleza ilani mjue twafa (+Video) appeared first on Bongo5.com.