“Hamuwezi mkachanganya mkanichagua mimi CCM halafu mkaleta mbunge wa Chama Kingine mtakuwa mmepotea, nataka niwaeleze ukweli”
“Bila kubana na kuweka mikakati mizuri ya sheria zetu hizi fedha tusingezipata, ikiwa mwaka mmoja tu tumepata mabilioni haya, tangu Tanzania iumbwe tumepoteza Matrioni mangapi?”
“Wachimbaji wakubwa mwaka 2016 walichimba dhahabu kilo 17,587.15, Mwaka huu baada ya serikali kuchukua hatua wameuza kilo 21,652.77 za dhahabu”
The post JPM: Hamuwezi mkachanganya mkanichagua mimi CCM halafu mkaleta mbunge wa Chama Kingine mtakuwa mmepotea (+Video) appeared first on Bongo5.com.