Jeshi  la Polisi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania, limewakamata watu watatu wakituhumiwa kuchoma moto ofisi za chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Kanda ya Kaskazini.