Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa @kondegang ameeleza alivyowasaini @officialkilly_tz na @officialcheed katika lebo yake. Mbali na hilo @harmonize_tz ameeleza mikakati yake juu ya lebo hiyo.

The post Harmonize aeleza alivyokutana an Killy na Cheed na ilichukua muda gani kuwasaini Konde Gang (+Video) appeared first on Bongo5.com.