Timu ya Simba inaongoza kwa mabao 4-0 dhidi ya Biashara mabao ya simba yakifungwa na Clatous Chota Chama 9′, 26, Meddie Kagere 52′ na Chris Mugalu 84′
Dakika 90 zinakamilika
Dakika ya 84 Gooal Mugalu
Dakika ya 83 Mgore anaanzisha mashambulizi kwenda Simba
Dakika ya 80 Luis anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 70 Simba wanapeleka mashambulizi kwa Biashara United
Dakika ya 63 anatokwa Bwalya anaingia Morrison
Dakika ya 62 Abdalha Tariq anafanya jaribio halileti matunda
Dakika ya 61 Biashara United wanapeleka mashambulizi kwa Simba
Dakika ya 52 Goooal Kagere
Mapumziko:-Simba 2-0 Biashara United
Imeongezwa dakika 1
Dakika 45 zimekamilika
Dakika ya 36 Bwalya anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 26 Chama Gooooal la pili kwa Simba
Dakika ya 20 Luis anapiga faulo inaokolewa na Mgore
Dakika ya 19 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 16, Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Fraga ambaye ameumia
Klabu ya soka ya Simba imeingia uwanjani kuvaana na Biashara UTD, katika mchezo wa ligi kuu unaochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar leo Septemba 20, 2020…