Msanii wa muziki wa hip hop Fid Q amedai kwamba anahisi ili kuwa mwanasiasa laziwa uwe na chembe chembe za uongo kitu ambacho amedai yeye hakiwezi bora aendelee na muziki wake.

Katika hatua nyingine rapa huyo kutoka Mwanza, amedai msanii @mwanafa ambaye anagombea Ubunge Muheza kama akishinda anafaa kuwa Waziri wa Habari Sanaa na Michezo kutokana na kuwa na uzoezi kwenye tasnia kwa muda mrefu.

The post Fid Q afunguka ‘Nahisi ili uwe mwanasiasa lazima uwe muongo, acha nibaki na muziki’ appeared first on Bongo5.com.