Msemaji wa familia ya Producers wa lebo ya Bongo rekodi @majani187 ameeleza chanzo cha kifo cha mama mzazi wa Producer huyo na kusema kuwa mama mzazi wa @majani187 amefia Uholanzi na usiku huu Majani anaondoka kwa ajili ya taratibu za kusafirisha ambapo anatarajiwa kuzikwa mkoani Morogoro.
The post Familia ya P Funk Majani yaeleza chanzo cha kifo cha mama mzazi wa Majani, Amefia Uholanzi (+Video) appeared first on Bongo5.com.