Dkt.Magufuli awaoma kura wananchi wa Urambo mjini mkoani Tabora
Sehemu ya Wananchi wa Urambo mjini wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika Urambo mjini mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020.