Aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm Diva ambye ametangaza kuacha kazi kwenye kituo hicho siku kadhaa zilizopita amerudi na lile jina la kigagula alilopewaga na Alikiba.
Diva kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha ya Alikiba akiwa na mke wake amina na kuandika ujumbe huu.
Tusahau Mambo ya Connection Jaman lets Focus na hii Couple …
Mhhh …ila Amina is Pretty Mashallah
ILA They look Good Together Jamani …
I admire them tho ….ati #Kigagula ??? Yamepita I don hold grudges….ila Ali Katika majina Yote hili aliona linanifaa kweli dah life inaenda kwa kasi sana ati nshasahau … Si bora angelitia uzungu kidogo aniite KJ ..Ile kigagula sikuwahi ipenda kabisa KJ imekaa kizungu levels eeh ….ila nilimind sema Mi Mnyamwez imeisha hio ……. Spreading Love Yo….
The post Diva amuandikia ujumbe huu Alikiba na mke wake Amina, Kigagula sikulipenda hata ungeniita KJ appeared first on Bongo5.com.