Msanii wa muziki @bellachristian1 amefunguka kuzungumzia ghorofa zake mbili ambazo amezijenga huko Mbweni jijini Dar Es Salaam. Amesema baada ya kupost clips ya mjengo huo, kuna watu wengi wanamuiliza kwanini anamiliki nyumba Tanzania wakati yeye ni raia wa Congo.

The post Christian Bella afunguka kujenga ghorofa mbili Dar (Video) appeared first on Bongo5.com.