Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imeufungia uwanja wa mabatini unaotumiwa kwa michezo ya nyumbani na klabu ya Ruvu Shooting kwa kukosa sifa za kimashindano