Mtangazaji wa Clouds media ambaye pia ni kaka yake na Country Boy aliyesainiwa Konde Gang na Harmonize amefunguka kuhusu furaha yake kumuona mdogo wake anapiga hjatu kwenye kazi yake.
Babuu ameeleza kuwa anamuona Country akiwa mikono salama kwenye lebo ya Konde Gang kwani uongozi wa Konde Gang hana wasiwasi nao.
The post Babu wa Kitaa: Nafurahi kumuona mdogo wangu Country yupo mikono salama kwa Harmonize, mkataba utakuwa poa tu (+Video) appeared first on Bongo5.com.