Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11 wameonekana wakiogelea wote nyumbani kwa @diamondplatnumz pamoja na @hanstonee01

Stori hii imekuwa kubwa kutokana na kauli aliyoitoa @diamondplatnumz kuwa ANAMPENDA SANA MIMI MARS ILA TIMING SIJUI ANAKOSEAGA WAPI

@mimi_mvrs11 kuonekana kwa @diamondplatnumz huenda tukasiki chochote kwani @diamondplatnumz hakuomba Collabo kwa @mimi_mvrs11 bali alisema anampenda. Kwa maoni yako unahisi kitu gani kinaendelea kati ya @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11

The post Baada ya Diamond kusema anampenda Mimi Mars mdogo wake na Vanessa Mdee, Leo waonekana wakiogelea pamoja nyumabni kwa Diamond (+Video) appeared first on Bongo5.com.