Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa @kingsmusicrecords @officialalikiba ameachia AUDIO ya ngoma yake mpya ‘MEDIOCRE ‘
Kuusikiliza wimbo huu wote bio ipo kwenye akaunti yake ya Youtube ya Kings music, ,Unampa asilimia ngapi kwa dude hili na una maoni gani….?
The post Alikiba arudi kivingine aachia wimbo mpya ‘MEDIOCRE’ Je hili ni dongo ? (+ Audio) appeared first on Bongo5.com.