Mwanamuziki wa R&B anayeishi Marekani mwenye asili ya Senegal alimaarufu kama Akon amesema kuwa ataendelea na mpango wake wa kujenga mji wa Kisasa nchini humo ambapo anaufananisha na ule mji wa WAKANDA unaoonekana kwenye filamu maarufu ya Superhero #BlackPanther.

Siku ya Jumatatu alianzisha rasmi ujenzi wa mradi wa mji huo wa kisasa mjini Dakar.

The post Akon azindua rasmi ujenzi wa mji wake wa kisasa wa Akon City (+Video) appeared first on Bongo5.com.